Blockchain Masterclass II
Baada ya mafanikio ya session iliyopita, Arusha tunarudi na uelewa wa kina zaidi.
Hii sio hype, ni kuelewa blockchain ecosystem.
Katika session hii utajifunza:
- Blockchain ecosystem inavyofanya kazi kwa uhalisia.
- Fursa halisi zilizopo nje ya speculation.
- Namna ya kumanage risks na kuepuka makosa ya kawaida.
- Jinsi ya kutumia Inkryptus Wallet kuaccess na kutumia ecosystem kwa usahihi.
Kama ulikosa ya kwanza, hii ni nafasi yako. Hakikisha unahifadhi nafasi yako mapema kwa sababu nafasi ni chache.
Umefanikiwa!
Usajili wako umepokewa.
Your registration has been received.
We look forward to seeing you in Arusha on 2nd May!